PRIME Mahakama yazuia shughuli za Chadema kwa muda Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imezuia kwa muda shughuli zote za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katibu mkuu, mawakala na wafuasi wa chama hicho kushiriki...
PRIME Wajumbe CCM tupeni raha, tuondoleeni makada hawa Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa nafasi ya ubunge lakini natamani wajumbe wanoe vichinjio vyao vizuri ili watusaidie kutuondolea makada wa aina tatu...
Gawio la Sh38.8 kutoka Nida lazua minong’ono Nida imeungana na mashirika mengine yaliyo chini ya Msajili wa Hazina kutoa gawio lake lakini yenyewe ikitoa asilimia 15 ya mapato ghafi kwa sababu haijiendeshi kibiashara.
Haya hapa mashirika, taasisi zilizochangia zaidi ya Sh10 bilioni Msajili wa Hazina Tanzania, Nehemiah Mchechu amesema taasisi sita ambazo Serikali inamiliki hisa chache zimeongoza katika orodha ya zile zilizotoa gawio la zaidi ya Sh10 bilioni kwa Serikali.
PRIME Mapya waliotumwa na afande, kuachiwa huru? Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeendelea kusikiliza hoja za rufaa kupinga kifungo cha maisha jela walichohukumiwa Clinton Damas, maarufu Nyundo na wenzake, huku upande wa Jamhuri ukiomba kuzijibu...
Sintofahamu Marekani, Trump apeleka Jeshi la Majini Los Angeles Mtu mmoja aliiambia CNN kuwa maofisa hao wa jeshi wanatarajiwa kuchukua nafasi ya baadhi ya wanajeshi 2,000 wa akiba ya Taifa walioko katika mji huo kwa siku mbili sasa.
Equity Group reports Kshs 15.4 billion profits after tax on prudent cost management and resumption of growth
Siku ya Hedhi Salama 2025: Safari ya ujenzi wa mazingira salama kwa hedhi kwa kila mwanamke na msichana
Maduka 19 ya kuuza mbegu matatani, Morogoro Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu nchini (TOSCI) imeweka zuio kwenye maduka 19 ya mbegu baada ya kukutwa yakiuza mbegu za mbogamboga zisizokuwa na lebo iliyotolewa na taasisi hiyo.
Ripoti yabainisha wazawa wawekwa kando fursa za ajira Kati ya nafasi zote za ajira zilizokuwepo mwaka 2022/23, asilimia 38.6 zilihitaji wataalamu wa kada hiyo.
ACT Wazalendo yawapigia rada wabunge 19 wa Chadema Uamuzi wa ACT Wazalendo kuongeza muda kwa makada wake kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani, una mengi yaliyojificha nyuma yake, Mwananchi limebaini.
Maduka 19 ya kuuza mbegu matatani, Morogoro Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu nchini (TOSCI) imeweka zuio kwenye maduka 19 ya mbegu baada ya kukutwa yakiuza mbegu za mbogamboga zisizokuwa na lebo iliyotolewa na taasisi hiyo.
Zege halilali: Yanga yarudisha kombora TFF Baada ya TFF kusema inaidai Yanga na sio kwamba yenyewe ndio inadaiwa na klabu hiyo fedha za ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB, Yanga imeibuka tena na kusisitiza kuwa yenyewe ndio inadai.
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Chatu Mandota awachana wanaosema hajui kuigiza Mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Chatu Mandota ambaye kwa sasa anashiriki kwenye tamthilia mpya ya Vacation inayoongozwa na Jacob Steven ‘JB’ amewataka baadhi ya mashabiki wanaomnanga hajui...
PRIME Je, mwananchi anakuwaje TRA? Ukweli mchungu ni kwamba idadi ya walipa kodi halali nchini bado ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa uchumi wa taifa na ndiyo maana mara kwa mara wachumi wamekuwa wakishauri kupanua wigo wa kodi...
Utafiti wabaini ukata kukwamisha watu kuzaa Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) imeonesha watu wengi wanashindwa kuwa na idadi wanayoitaka ya watoto kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.